Makapuku Forum

Makapuku Forum

Man utd yasajili mcheza hatari toka kenya
8e4c34da0a836d93746726de2006a02e.jpg
Uwiiii
Eric Omondi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Number 2, Grenada
81b07491aaa5d82c5a0bc510b4f4cf3c.jpg

Toka mwaka 1983, wana tegemea vikundi vya ulinzi vya watu binafsi na kikos cha upelelezi tuu

Wao kwa kuwa wako kwenye umoja wa nchi za amerika, hawategemei kuvamiwa wala kuwa na vita siku yyte, na ikitokea majeshi ya umoja yata wasaidia
I shall visit here, nipige show ya kufa nyau na mutoto li........
 
Back
Top Bottom