View attachment 360702
Kwenu Makapuku,
Kwa heshima na taadhima naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwenu.
Asanteni sana kwa 40k likes
Natambua ya kwamba bila nyie hata robo ya hapo nisingefikia
Shukrani hizi ziwafikie Makapuku wote, sitaweza kuwataja wote kwa majina ila naomba mtambue ya kwamba nawapenda na kuwajali..
Kwa wale ambao wamewahi kunikwaza nimeshawasamehe na niliowakwaza kwa namna moja au nyingine basi wanisamehe na tusonge mbele
Mapenzi tele kwenu wote
Asanteni
Jimena