Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Thus y wanatamani kupasukaAsante sana,
Ni kweli haijawahi kutokea na sasa imewekwa na kapuku
![]()
![]()
![]()
![]()
Thus y wanatamani kupasukaAsante sana,
Ni kweli haijawahi kutokea na sasa imewekwa na kapuku
![]()
![]()
![]()
![]()
Hongera sana
Mkuu leo nimekuja mkuku kusoma magazeti ya Jimena, historia , updates za Bitoz sema top ten ndo imekua miyeyusho ila sio mbaya sana hili chama huwa haliboimia.
Amekuwa muwazi, tumuelewe tu mkuu.Nimepita mida hii kucheki hizo top ten,bahati mbaya kijana hajajipanga leo
Usijali mkuu, pamoja sana... Kesho nayo ni siku![]()
![]()
![]()
![]()
Kesho mkuu leo nimechelewa kuingia hasa ningeleta za ki uongo uongo mno
Halafu messi kaondoka so tu enjoy tuuu
Cc. PNCWakuu leo
Top tena hazita kuwepo
Natangaza siku ya Mapumziko kwani Messi kastaafu
Tusherehekeeee
![]()
![]()
![]()
Top ten za leo
Loosers wa siku
10. Spain national tema
9. Mussolin5
8. Werrason
7.biglia
6. Argentina national team
5.team messi wote
4.PNC 1
3.leofail Missi
2.leofail Missi
1.leofail Missi
Utawafukuza bhanaTop ten za leo
Loosers wa siku
10. Spain national tema
9. Mussolin5
8. Werrason
7.biglia
6. Argentina national team
5.team messi wote
4.PNC 1
3.leofail Missi
2.leofail Missi
1.leofail Missi
Hayo nayo ni manenoUsijali mkuu, pamoja sana... Kesho nayo ni siku
Nimekusoma mkuu, wala siko serious kiivyoAmekuwa muwazi, tumuelewe tu mkuu.
Hii pia inaashiria kutambua umuhim wake na ku appreciate afanyacho...
asante mkuu!! ile kitu huwa ni asubuhi. Vp top10 leo sikuwepoMkuu endeleza ile kitu ya historia
Na ikiezekana ikuze zaid
Be blessed
Ucjali najua tuko peace, na kautani ni muhim mkuuNimekusoma mkuu, wala siko serious kiivyo
Thanks mkuu kwa kila sapot, i really apriciate thatI real admire this guy![]()
Pole mkuu, hope kesho itakuwepo.Mkuu leo nimekuja mkuku kusoma magazeti ya Jimena, historia , updates za Bitoz sema top ten ndo imekua miyeyusho ila sio mbaya sana hili chama huwa haliboi
Habari yako shululu?Hongera sana