Leo katika Historia;
27/06/1976 Ndegeya shirika la ndege la Ufaransa inatekwa na wanamgambo wa PLO toka Palestina ambao inalazimishwa kuja kutua Entebbe Uganda kwa Idd Amin Dada. Ndege hiyo ilikuwa na abiria wengi wa Israel.
27/06/1977 Djibouti inapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
27/06/1977 Mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Hispania, Raul Gonzalez Blanco anazaliwa.
27/06/2007 Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair anajiuzulu wadhifa huo baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10.
Tarehe kama ya leo kila mwaka ni National HIV Testing Day nchini Marekani.