Makapuku Forum

Makapuku Forum

baada ya kutoka kifungoni ninadance like this
cd79140d813f893d8ea727ee8bfa815d.gif
wera wera weraaaaaaa
Unaniita???
 
Kuna jamaa mmoja nilimpenda, aliwaambia wakongwe kuwa msiwaonee wageni kwa kufanya mapinduzi makubwa na ya kuigwa, badala ya kupambana nao, nanyi m buni vitu vipya...
Niliona ni mtu anayejiongeza.
Sikuhizi watu wanashindana kwa ubunifu na sio maneno au matusi.
Mfano..jimena..magazeti yameongeza hamasa kwa wasomaji wa magazeti kupitia asubuhi ili waone headlines.
Football bitoz naye anawavutia wapenzi wa mpira kwani mtu anaweza kuwa na home..so anapata updates za mchezo kilaini.
Szcseny naye amekoleza uzi kwa 10 tena.
Musolin5 naye katika historia amekolezea jukwaa letu
Kwanini wasione wivu?
Wanatamani kujiunga but wanashindwa Wanabaki kusoma na kupita kimya kimya, wivu ukiwazidi wanatapika nyongo ka yule wa asubuhi na mchana wa leo.
Fact
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom