Huwa j,tatu na ijumaa tu,weekend huwa mapumziko, kama nyepesi nyepesi vile.Szcseny twasubiri top 10 za leo mkuu
Daah hapa nimechemsha ckujua ratiba yakeHuwa j,tatu na ijumaa tu,weekend huwa mapumziko, kama nyepesi nyepesi vile.
Hatari mkuu...Makapuku Forum ni homa ya JijiImewatetemesha balaa, wanatafuta pakutokea wanaona giza
Unakosea, sema ya nchiHatari mkuu...Makapuku Forum ni homa ya Jiji
Makapuku forum ni homa ya Nchi.Unakosea, sema ya nchi
Hapo sawa kabisaMakapuku forum ni homa ya Nchi.
Kuna jamaa mmoja nilimpenda, aliwaambia wakongwe kuwa msiwaonee wageni kwa kufanya mapinduzi makubwa na ya kuigwa, badala ya kupambana nao, nanyi m buni vitu vipya...Imewatetemesha balaa, wanatafuta pakutokea wanaona giza
Usisahau na katika historia mzee mussolinKuna jamaa mmoja nilimpenda, aliwaambia wakongwe kuwa msiwaonee wageni kwa kufanya mapinduzi makubwa na ya kuigwa, badala ya kupambana nao, nanyi m buni vitu vipya...
Niliona ni mtu anayejiongeza.
Sikuhizi watu wanashindana kwa ubunifu na sio maneno au matusi.
Mfano..jimena..magazeti yameongeza hamasa kwa wasomaji wa magazeti kupitia asubuhi ili waone headlines.
Football bitoz naye anawavutia wapenzi wa mpira kwani mtu anaweza kuwa na home..so anapata updates za mchezo kilaini.
Szcseny naye amekoleza uzi kwa 10 tena.
Kwanini wasione wivu?
Wanatamani kujiunga but wanashindwa nabaki kusoma na kupita kimya kimya, wivu ukiwazidi wanatapika nyongo ka yule wa asubuhi na mchana wa leo.
Nimemuweka tayariUsisahau na katika historia mzee mussolin
Nimeona mkuuNimemuweka tayari
SawaNimeona mkuu
Naona wakuu wamelalaNimeona mkuu