Tarehe kama ya leo miaka 9 iliyopita, aliyekuwa mbunge wa viti maalum CCM, Amina Chifupa alifariki Dunia katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar Es Salaam.

Kila nikiangalia sura yake......roho inauma
Mapenzi ya Mungu hayo
Mfano mm nilifiwa na best friend nikiwa Advance hadi leo nahisi km nilionewa
.........