Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Wewe mbaguzi, hii kauli itaudhi wasiojaaliwa nyama humu, ilizingatia hilo kabla hujapost!kama hana nyama ni bure
Wewe mbaguzi, hii kauli itaudhi wasiojaaliwa nyama humu, ilizingatia hilo kabla hujapost!kama hana nyama ni bure
Yupi huyo?Kuna mwingine anadaiwa kuwa sio mungu![]()
![]()
![]()
Mm ni msukuma si unajua sielewi chochote kwani hata kupost ni mtihaniMbona nakuona?
Hujaulizwa kabila...ikawaje rais aka.....Mm ni msukuma si unajua sielewi chochote kwani hata kupost ni mtihani
Kweli mkuu, habari za utokako mkuuuNimerud nilipotea kidogo wazima humu jaman
Yeye kakulia townHujaulizwa kabila...ikawaje rais aka.....
Mmmh huo sidhaniHivi invigilator akikukamata umempa mwenzako ujumbe kama huu anaweza kukuondoeni examination hall?
Kwasababu ni jumamosiNaona leo pamechangamka mapema sana
Kwa hiyo unakiri wew ni ....Yeye kakulia town
Tukanywa sanaaaaaaaaaaa!!!Weekend, Jana ilikuwa wine kwenye top ten
Szczesny alisema kwa anayesadikiwa kuwa ni mungu amemjalia anaendelea vizuri,ndio nikauliza hivyo SasaYupi huyo?
*sabatoSabati ndo nn!!?
Weekend mkuu kaufree kapo kiasi
Sanaa, wengine wameahidi kuingia kwenye kumbukumbu ya kuinunua no1Tukanywa sanaaaaaaaaaaa!!!
Cc sczsenySanaa, wengine wameahidi kuingia kwenye kumbukumbu ya kuinunua no1
Nimekuelewa mkuuSzczesny alisema kwa anayesadikiwa kuwa ni mungu amemjalia anaendelea vizuri,ndio nikauliza hivyo Sasa
Mm ni kilazaKwa hiyo unakiri wew ni ....
Enzi zako hizo,ilibidi wakurecord ili usiwabishie ukiwa mkubwaKijana nikiyekosa utulivu nmerudi tena...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()