Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu ilikuwa ni kuchemsha jukwaa tu, japo ulifika wakati member wanijia chemba kutaka kujua kama ni kweli mim pastor. Hivyo napotezea hilo kwenda character nyingine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeshuka sana bro
Nakumbuka ulikuwa unajiita......
Ambalo umekataa usiitwe
Sasa apo umerud nyuma hatua kumi
