Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Yaan ningekuwa prezdaa haya magazet ninge yafungia kwa kweli
Yaan ningekuwa prezdaa haya magazet ninge yafungia kwa kweli
Huku kwetu mashamba yameadimika sana mkuuHiyo hali ya hewa inafaa kabisa kwa kilimo cha watoto![]()
![]()

Hii inanihusu..BREAKING NEWS.
Govt of Tanzania has passed a new law;
Beautiful girls & handsome boys have to pay beauty Tax of $30 per month..I know you are smilling coz you know you are safe...
![]()

MorningMorningz allz Kapukuz![]()
Kilimo cha watoto hakihitaji ardhi wala jembe mkuu, nyenzo zote uko nazo kwa mwili wakoHuku kwetu mashamba yameadimika sana mkuu![]()
![]()

AsanteeeView attachment 359940View attachment 359941View attachment 359942
Kutoka katika magazeti... Sina la ziada...
Adios amigo
Ciao!
Nyenzo ninazo lakini pakulimia hamna....Kilimo cha watoto hakihitaji ardhi wala jembe mkuu, nyenzo zote uko nazo kwa mwili wako![]()
![]()
![]()
Inakuhusu kwenye kulipia au?Hii inanihusu..![]()
![]()
MorningMorning pipoz
Huyo jamaa hanifikii hata robo.![]()
![]()
![]()
![]()
Kwahyo na wewe nj bonge la HB kama Th Name??
Aah wap, Nahrene ndo ardhi yenyeweNyenzo ninazo lakini pakulimia hamna....
NzuriiiiiHabari ya weekend wakuu.
Haha mi nipo kwa Makonda huku mkuuMorning
Habar za hapo Manungu, Turiani
Sabati ndo nn!!?Sabati njema wakuu
Hiyo ardhi nimeuza kitambo tu.Aah wap, Nahrene ndo ardhi yenyewe
Mhhh naona unajipigia chapuo kwa lizziebettieHuyo jamaa hanifikii hata robo.
Dah we jamaa bana, lakin hawajaisha humuHiyo ardhi nimeuza kitambo tu.
Natafuta shamba njingine