Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Namshukuru huyo inaye daiwa kwamba ndiye MunguMimi niko poa, vp unaendeleaje
Namshukuru huyo inaye daiwa kwamba ndiye MunguMimi niko poa, vp unaendeleaje
Labda uanze kuuza nyumba za urithi.Nilizikubali sana top ten za jana, niko mbioni kufanya mchakato wa kutafuta ile namba moja

Kwema mkuu, mahusiano yako vizuri kabisa?Moyo Mashine![]()
AnhaaaAisee fanya mpango utupie mapicha ya pyramids
Sawa MkuuAnhaaa
Ntajipga selfie hapa usijali
Shabiki wa rugby huyu![]()
Kuna viumbe huwezi ht kuvizaba Kofi
![]()
![]()
![]()
.......
HahahaaNilizikubali sana top ten za jana, niko mbioni kufanya mchakato wa kutafuta ile namba moja
Dar kila sampuli unapataAnhaaa
Mwanaume wa dar ee!!?
![]()
![]()
Kabisa mku,vipi kwako?Kwema mkuu, mahusiano yako vizuri kabisa?
HahahaDar kila sampuli unapata
Ntanunua shot moja tu mkuuHahahaa
Asante mkuu
Zile unavo kunywa hakikisha hauna uchungu na hela yako
Kuna mwenzie aliivunja ike namba mbiliLabda uanze kuuza nyumba za urithi.![]()
![]()
![]()
Hahaha chipsi yai ni mboga sio msosi, huwez kunipata hukoHahaha
Nlikuona kwenye tamasha la chipsi yai zege
AnhaaaNtanunua shot moja tu mkuu
kama hana nyama ni bure![]()
Kuna viumbe huwezi ht kuvizaba Kofi
![]()
![]()
![]()
.......