Mkuu dollar moja ni sawa na tshs. 2150/= mpaka tshs.2180/=NB gharama ita wekwa kwa USD so kumbuka
Dola moja ya kimarekani ni sawa na shillingi 2000 za ki tanzania
So mahesabu yaende sawa
"Kakadiria"Mkuu dollar moja ni sawa na tshs. 2150/=-2175/=
You will feel much better soon![]()
![]()
![]()
![]()
Mambo yanaendelea hvo hvo
Now naendelea ku recover
Poa sanaMiss you too Dada, uko poa
Leo jaman its weekend so top ten lazma ije ki weekend zaid
So speaking of weekend, najua lazma mme chill mna pata![]()
So leo tuna cheki top ten ya mvinyo or mivinyo or whatever yenye gharama kubwa zaid duniani
Au mvinyo ghali zaid duniani au kwa lugha rahisi ya kizungu
Top 10 Most Expensive Red Wines In The World: Cabernet Sauvignon Tops The List
Let the count down begin

Weekend ndo hiyoPoa sana
Hii naweza kufa bila kuionjaNumber 10, Chateau Margaux 2009 Balthazar –$4,062
![]()
2009 Chateau Margaux’s katon tatu za chupa 12 huuzwa kwa US$195,000 na mfanyabishara mmoja huko Le Clos ,Dubai
Zimewahi tengenezwa katon 6 tuu na zimeuzwa katon tatu mpaka sasa
Number 9, Chateau Lafite 1865 –$4,650
![]()
Ikiwa na umri wa zaid ya miaka 150 bei tajwa hapo juu ni bei ya glasi moja tuu
Bei yake ya chupa ni takriban $124,469. Na ukitaka kuletewa kwako na gari utaongeza $ 24,000 tuu

Ingekuwa bongo angezabwa vibao na kufukuzwa kazNumber 2, Chateau Margaux 1787 – $500,000
![]()
Hii wine iliwahi wekewa bima lakoni mnamno mwaka 1789, muhudum mmoja huko New York ali idondisha kwa bahati mbaya
Na kuivunja chupa basi shirika la bima ili bidi li ilipie zaid ya $225,000.
InavutiaNumber 4, Penfolds Grange Hermitage 1951 –$38,420
![]()
Ina sadikika kuwa zipo chupa takriban 20 tuu za kitu hyo
Na mara ya mwisho kununuliwa mwaka 2004 iliuzwa us $50,200 kwa chupa
Hongera sana mkuuNumber 1, Screaming Eagle Cabernet Sauvignon 1992 –
$500,000
![]()
Hii kwa pesa za kitanzania shillingi 1,093,700,000
Yaan hata mimi nimeshindwa kujua ni sh ngapi za kibongo ila ndo hivo
Nadhani ntamnunulia Jimena wangu hiyo siku moja
Kwa wale wanao elewa ki inglish mmoja ya ma afisa wa bodi za ukaguzi alipo ulizwa aielezee ali sema maneno hayaa
“Exceptionally impressive. Sensational nose of jammy blackcurrants and subtle toasty oak. Stunningly proportioned, ripe, intense fruit, full body, great purity… inner-core of sweet, creamy, highly extracted blackcurrant/cassis fruit. Spectacular.”
Hiyo ndo namba moja hapoooo
Sasa hiyo siku ifike tu mi nijinywee wine expensive kuliko zote dunianiNumber 1, Screaming Eagle Cabernet Sauvignon 1992 –