Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
Ni njema kaka, habari yako, vip afya yako ndgNipo kaka
Habar y wikend!!?
Ni njema kaka, habari yako, vip afya yako ndgNipo kaka
Habar y wikend!!?
Ulipotea mkuuMwendokasi hahahah
Mikwara tu hiyo
Nipo nduguUlipotea mkuu
Tuwe watulivu TOP TEN iishe kwanza pindi akianza kupost
.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
.......
Nafurahi kukuonaNipo ndugu
Mimi pia kaka. Weekend ndo hiyoNafurahi kukuona
Nataka nkuone ukiwa mpole hvyo hvyo..[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
[emoji120]Mimi pia kaka. Weekend ndo hiyo
Nipo mjini...nimerudi siku mingi.Bado upo Lushoto??
Huko wew vp!Wazee wa vyombo #Vitwanga Msicheze mbali countdown inawahusu sana
MmhNumber 8, Domaine de la Romanee-Conti 1990 – $20,975
![]()
Hii huuzwa mara chche sana na zilipo uzwa glas nane za mvinyo huu mwaka 1996 ziligharimu US $224,900. Tuu