Utakubaliana na mimi kwamba kila siku tunatumia simu , simu zimekuwa kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku ambapo zimebadilisha kila namna katika biashara na shughuri zetu kiujumla
Ukitafakari kwa makini utagundua kuwa hizi kompyuta katika mifuko yetu zina guvu zaid kuliko hata zile ziwapelekazo watu mwezini...rockets
mambo 15 ambayo kwa namna moja ama nyingine haukuweza kuyafahamu kuhusu hiyo smart phone katika kiganja chako.
ukweli ni kwamba....
199% ya virusi vya simu (malware) hutengenezwa kwaajili ya simu zinazotumia mfumo wa android
247% ya watumiaji wa simu za mkononi huko marekani wanadai hawawezi kuishi bila ya simu zao
3Viwanda ya simu za mkononi ni moja ya viwanda vinavyo kua kwa kasi kubwa hapa duniani
4.70% ya simu za mkononi zinatengenezwa china
5Kwa kawaida smart phones zina idadi ya bacteria ambayo ni mara 18 zaid ya vifaa vya chooni/ vyooni
6Wanasayansi wamegundua namna ya kuchaji simu kwa kutumia mkojo (Bristol Robotics Laboratory)
7Watumiaji wengi wa internet huko china hawana computer binafsi (PC) isipokuwa hutumia smart phones
8Simu ya kwanza iliuzwa huko marekani kwa gharama ya dola 4000 za kimarekani
9Mwaka 2012, kampuni ya Apple iliweza kuuza iphones 340,000 iPhones karibia kila siku.
10Martin Cooper, Mgunduzi wa kwanza wa motorola alitengeneza simu ya kwanza mnamo mwaka 1973
11Nokia wameuza simu zaidi ya milioni 250000 , hii imewafanya wavunje rekodi ya mauzo ya vifaa vya umeme katika historia
12Hakuna ushahidi kwamba mionzi inayotokana na simu za mkononi ni hatari
13 Idadi ya watu wenye smart phones ni kubwa kuliko wenye vyoo hapa duniani
1465% ya watumiaji wa smart phones hawadownlod application zozote .