Watu poriNumber 9, The Jackson Whites
Hawa ni mchanganyiko wa wahidi wekundu na wazungu walio kuwa watumwa ambao walikimbia utumwa huko Marekani miaka ya 1700, inakadiriwa mpaka sasa wako zaid ya 5,000, mara yao ya mwisho kupigwa picha na mtu yyte ni mwaka 1911wanaishi kwenye milima huko New Jersey na Rockland County huko kusini mwa New York
Wao hujiita watu wa milimani
Asante sana, nakutakia afya njemaNumber 1,
Hawa wanaishi huko kwenye kisiwa kati ya India na Thailand
Wao hawajulikani maisha yao kwan hakuna aliye wahi kuwasogelea alaf mshale wa sumu uka mkosa, wameish zaid ya miaka 60,000 hapo hapo kwenye kisiwa
Picha hiyo walipgwa mwaka 2004 wakati wa tsunami na waligoma kutoka na bado wali survive
Inadhaniwa wanaish kwa kuvua samaki, kuwinda na pengne kulima
Ni moja ya watu ambao hawajawahi kumuhifadhi hai mgeni wao yyte
Hivo hawa ndo watu walio jitenga zaid kuliko woote
Dah nimeipenda hii, ikianza kuapply unijuze mkuuSHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Vp wamasai, wahadzabe wamekosekanaje hapo mkuu??Jaman nawaheshim woote
Asanten sana , leo nme leta top ten za kusoma zaid mjikaze
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Na sign off hadi wakat mwngneee
JohnaxNani
Za masiku katekista?Johnax
Asante sana mkuu, uko juuNumber 1,
Hawa wanaishi huko kwenye kisiwa kati ya India na Thailand
Wao hawajulikani maisha yao kwan hakuna aliye wahi kuwasogelea alaf mshale wa sumu uka mkosa, wameish zaid ya miaka 60,000 hapo hapo kwenye kisiwa
Picha hiyo walipgwa mwaka 2004 wakati wa tsunami na waligoma kutoka na bado wali survive
Inadhaniwa wanaish kwa kuvua samaki, kuwinda na pengne kulima
Ni moja ya watu ambao hawajawahi kumuhifadhi hai mgeni wao yyte
Hivo hawa ndo watu walio jitenga zaid kuliko woote
nashukuru sana.. mm napenda sana hizo take away kuliko hizo za chupaVipo
Mie mzima kabisa mkuu.Nzuri sana.... Habari yako?
Asante mkuu.Jaman nawaheshim woote
Asanten sana , leo nme leta top ten za kusoma zaid mjikaze
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Na sign off hadi wakat mwngneee
Nzuri shekhe, umeadimika sanaZa masiku katekista?
Kivipi mkuu wakati ni namba 10 au huyo wa pili kutoka kulia ndo kiboko?Hawa kiboko
DuuhNumber 6, Ishi – The Last of the Native Americans
Ni mtu wa mwisho wa kabika la Yahi, group la mwisho la wa Yana wa huko California. Na alijulikana kama “last wild Indian” huko America
Huyu hata jina hilo alipewa tuu na watu walio mwona kwani kwa kabila lake walikuwa hawapean majina na ilikuwa ni tabia mbaya kumuulza mtu ana itwa nan katika kabila lao
Mbona nipo mkuu tunapishana mida tuNzuri shekhe, umeadimika sana
Waambie wavae nguo basiNumber 5, The Brazilian tribes
Haya ni makabila mbali mbali ya wa brazili wenyeji wanakadiriwa kwa sasa kufikia zaid ya laki 8 wa makabila zaid ya 238, wao huish makundi ya watu takriban hamsini
Wanaishi kwa kuhama hama huko misituni , wana tegemea kuwinda zaid, wanakadiriwa ikiwa wasinge pitiwa na mattzo kama ukoloni, magonjwa na vita wangekuwa wengi zaid huko baran Amerika ya kusini
Mmmh tetemeko kabisaNumber 4, The Korowai Tribe
Wako kusini mwa Papua NewGuinea, kwa mara ya kwanza walijua kuwa wao hawapo peke yao dunian mnamo mwaka 1989 walipo kutana na archiologist mmoja huko kwny vijiji vyao, walidhan hakuna mtu zaid yao na kw kipind hiki wana kadiriwa kuwa zaid ya 3000, wao hawataki kubadilisha tamaduni zao kwana wana amini waki ziacha tamaduni hizo,dunia itapatwa na tetemeko kubwa na wata kufa wotee na hiyo ni imani ya kimapokeo
Labda wameshakufa woteNumber 3, The Mashco-Piro Tribe
Hawa wanaishi misitu ya Amazon inayo itwa Manuu park huko Peru mpaka mara ya mwisho wana kutana na binadam mwingine ali kadiria kuwa wako kama 250 na hiyo ni mwaka 1998, wao huish kwa ku winda , na kula mizizi na hawajawahi onekana na watu wengne toka mwaka huo
WamekondeanaNumber 2, Pintupi Nine Tribe
Hawa wako huko Australia wana ishi kwa kula sungura na kuwinda winda tuuu
Hata sasa sijapata taarifa zao ni nn na wana ishije