Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Ni poa, tunasubiri kumi za rleoHabar za jioni wakuu wootee
Pole sanaLeo kumi kubwa zita wahi kdogo
Maana nna mattzo ya kiafya kidogo leo ngependa niwah kupumzika
Poa fanya mambo mkuu.Leo kumi kubwa zita wahi kdogo
Maana nna mattzo ya kiafya kidogo leo ngependa niwah kupumzika
Nashukuru shemPole sanaaa Shem
Afya yako ipone haraka rafiki
HehehePoa fanya mambo mkuu.
Hahahaha.Teh, hichohicho, youngblood alikuwa na mpango wa kutambulisha kilainishi kipya cha kiasili kabisa *MAJANI YA KIPAPAI* ila sijui hata aliishiaga wapi!
chaptaChama gani mkuu.
Niko vizuri kabisa mkuuHehehe
Natuma uko vzuri mkuu
Kale kampango kaliishiaga wapi??Hahahaha.
Nafurahi kukuonaPole sanaaa Shem
Afya yako ipone haraka rafiki
Ukimali kurusha 10 za leo ni maombi yangu afya ikurudieNashukuru shem
In ShaAllah
View attachment 359398 pale unapokutana na mtu unaemuweza then anakuletea mapuuuza.
Nan atapigwa hapa?
nakuja
Asante sana Mkuu.Number 5, The Brazilian tribes
Haya ni makabila mbali mbali ya wa brazili wenyeji wanakadiriwa kwa sasa kufikia zaid ya laki 8 wa makabila zaid ya 238, wao huish makundi ya watu takriban hamsini
Wanaishi kwa kuhama hama huko misituni , wana tegemea kuwinda zaid, wanakadiriwa ikiwa wasinge pitiwa na mattzo kama ukoloni, magonjwa na vita wangekuwa wengi zaid huko baran Amerika ya kusini