EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hata mimi nahitaji kujua hata kidogo.Maelezo kamili kuhusu hiyo ndoto yafuate
Hata mimi nahitaji kujua hata kidogo.Maelezo kamili kuhusu hiyo ndoto yafuate
Bila kombe la Dunia,faida yake ni nini
Upo salama dada?Morning family...
Magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu kwa hisani ya Wakimataifaaaa
Millard Ayo kafanya nini tena?poa poa mbishe nnCheck out @millardayo's Tweet: millard ayo on Twitter
Labda ulete fix maana ubishi umekushinda.![]()
![]()
![]()
Na leo lazima niwapige fix za kutosha
Faida hakunaBila kombe la Dunia,faida yake ni nini
Kila mtu na kichaa chakeNa makucha yake.
Tunamshukuru Mungu tupo poaMorning braza. Umeamkaje?
Nashindwa kubishana coz nakuwa busy kimtindo..Labda ulete fix maana ubishi umekushinda.
Mie niko mzima wa afya.Salama kabisa
Habari ya wewe?
Basi sana mzee wa mafisi a.k.a mafix.Nashindwa kubishana coz nakuwa busy kimtindo..
Ila kadri nnavyopata muda nafanya manuva kama hivi
Iko njema sana.niaje niaje ndugu za asubuh
Mambo yako mazuri, mungu anasaidia.Poa sana cjui wew
Pamoja sana kaka.Ameen![]()
Labda atakuwa ameacha kazi Clouds Media.Millard Ayo kafanya nini tena?
Ni kweli kabisa.Kila mtu na kichaa chake