Makapuku Forum

Fuata moyo wako unataka nini.
 
Kila unachofanya kaa chini andika faida na hasara
Alafu amua
Uamuzi wako ndo bora ila hakuna atakaye kwambia mwache huyu nenda kwa huyu
 
Mhh braza mpaka hapo inaonekana kabisa moyo wako bado upo kwa yule wa zamani so ni vema ukarudiana nae kuliko kuendelea kuwa nusunusu huku kwa sasa.

Swali la kizushi:
Japo hujasema kisa cha huo mgogoro lakin ni nani aliyempa likizo mwenzie kati ya nyie wawili? Jibu unaweza kubaki nalo tu.. teh

Kama ni wewe uliyetoa hiyo likizo basi sina shaka sana na kurudi kwake ila kama ni yeye ndo aliyetoa hiyo likizo itakua zile moves zake na alternatives zote ziligoma kule upande wa pili so hakuwa na namna zaidi ya kujirudisha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…