Makapuku Forum

Huu ushauri ni mzuri sana

Mi namshauri ausikikize moyo wake tu unavyomwambia
 
Fanya uchunguzi kama una nia ya kurudiana nae ndo ufanye maamuzi. Nafsi inahitaji nini, ndo kitu cha kufikiria. Pole sana braza.
Sina sababu ya kuchunguza moyo na hata nikiunda tume maalum ya uchunguzi bado majibu yatakuja yale yale kwamba nampenda!...daah upendo hauna bouncer wadau...unaweza kupenda hadi ukajikuta unalia meeeeh kama mbuzi wa hitma!
 

Mkuu busara hapa hazihitajiki,zihifadhi kwa matumizi mengine ya kujenga taifa...nafikiri sitakuwa muungwana kuendelea kupretend kupenda mtu back ilihali ukweli moyo upo kwingine...wanaume wengi huoa wanawake wanaowapa furaha...ila kuna wachache huwa hufurahi kujikuta wana furaha baada ya kuoa watu wasiowapenda...nachagua A...Kuoa mtu anayenipa furaha...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…