Makapuku Forum

Number 5,

Hiki ni kibanda chake cha $12 million kilichopo kwenye fukwe maarufu za oceanfront hacienda huko southern California,

Jet yake ya kupugia mizunguko

Yeye ana fanya huduma za kuzunga kuhubir sehem mbali mbali dunian, japo shirika la FBI lina mchunguza kwa tuhuma mbali mbal ikiwemo ukwepaj wa kodi bado yeye ni kiboko ya utajiri
 
Number 3, . Chris Oyakhilome Net Worth 2016 – $50 Million




Moja ya kanisa lake hapo

Huyu yeye alinunua kampuni nzima ya ndege na kuiita Sky power

Ana televisheni yake ya LoveWorld ambayo huwa na 2.5 million views per nightly event. Na ndo televishen ya kwanza ya aina yyte kutoka Afrika kurusha matangazo yaliyo onekana dunia nzima kwa sattelite ya kawida
Naye ana fikiriwa kukamtwa huko South Afrika kwan hudai ana ponya watu HIV/AIDS na pia ana kashfa kuwekeza pesa uswisi
 
Number 2, . Bishop T.D. Jakes Net Worth 2016 – $147 Million


Nyumba anazo miliki ambazo ni za mamilioni

Gari yake ya kutembelea angani

Askofu, muimbaji na mshindi wa tuzo za grammy na Oscar
Ni billionea kwa kuuza album zake za nyimbo za injili pia, na ana vipindi vyake vya televishen huko texas, kanisa lake lina itwa Pitter,s hose Mega church na ana asili ya Nigeria pia kwa mujibu wa vipimo vya DNA yake
 
Duuuuh
 
Number 1 ,Bishop David Oyedepo Net Worth 2016 – $150 Million



Sehem ta kusanyiko la kanisani kwake hapo lagos

Hili ni kanisa jipya analo lijenga huko ota-ogun state Nigeria
Ana kanisa linalo chukua watu zaid ya 50000 kwa wakat mmoja , ana Airline yake inayo itwa Dominion airline ana makanisa zaid ya nch 45 duniani, ana miliki hospitali, shule na kampuni za mabasi huko nigeria na marekani

Aliwahi kuingiza mabasi 300 kwa siku moja huko Nigeria
Yeye ni mtumish wa bwana tajir kuliko wote dunian alitoka marekan na akarud kwao Nigeria akisema Mungu ame mtuma akawafanye wanaijeria wawe matajiri
.kwa sasa ana jenga nyumba ya Naira 250 billion huko Nigeria ili. apate naye sehem ya kuish


#nikija kuwa mkubwa na mi nadhan ntafungua kanisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…