Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Sasa hapo ni pole ama hongera maana ile ndude ukiwa nayo ina karaha yake bhana...unaweza kumwagiwa hata maji ya moto ati kwa kuwa umekutwa umesimama na Yasinta wakati ulikuwa unamuuliza habari za shamba za matikiti maji huko bonde la mto mpiji!Pole sana braza.
Hujaweka limit ya muda wa kuangalia ila kwa haraka haraka naona tu madoa doa tu na sijui ni ngumi au kichwa ama mchanganyiko wa vyote!
Ndo aliyekufanyaga ukala BAN nini!!???Yule bibi ukibishana naye kidogo tu.. unakula Ban after a few minutes
Sijakuelewa bado.ilikuwa ni Fix tu..
Yule ni moja wa member hapa Jf ambao wamesababisha nkapigwa Ban. Maana nlikuwa napenda kumchokoza sana.. nahisi sasa hivi atakuwa ameshanipiga ignore list maana simpati kabisaNdo aliyekufanyaga ukala BAN nini!!???
Nipo ndugu. Nilikuwa safarini. Kwema?Daaah umepotea sana mkuu
Umekumbushia mbali sana aseee.Kama hukujongo kipindi wakati mkifundisha masuala ya photography O Level utakuwa umekutana na kitu kinachoitwa Oblique type of Picha ambapo inachukuliwa kwenye angle fulani amazing, unadhani kwa mbonyeo huo wa dogojanja kweli anatizama mgongo ama unamtetea tu binti yako aliyeficha sukari?
Km ngapi mkuu?Umekumbushia mbali sana aseee.
Umekuja na Safari za kutosha??Nipo ndugu. Nilikuwa safarini. Kwema?
Nahamu ya kuchokoza member yoyote hapaa...
Anayehitaji uchokozi au ubishi ajitokeze plzz
Horseshoe Arch!Hujaweka limit ya muda wa kuangalia ila kwa haraka haraka naona tu madoa doa tu na sijui ni ngumi au kichwa ama mchanganyiko wa vyote!
Potezea!Umekuja na Safari za kutosha??
Ha ha haaa umetufuturisha macho kwa muda!Horseshoe Arch!
It's a psychological test. Nothing less. Nothing more!
huyu jamaa anatupiga fixxxxHapo sasa
Hivi unajua kuwa mimi ndo niliyemtungia lady jay dee yale mashairi wa ule wimbo wa ndi ndi ndii?Nabisha kwamba huwezi kuwa mbishi na hiyo hamu uliyonayo si ya kuchokoza labda ni ya ku ndi ndi ndi, bisha tuone!
Nilidhani wewe ndo ulimkojolesha kumbe kumtungia tu mistari? Kwanza nabisha kwa mantiki kwamba Jide aliimba kwa hisia sana kuonesha jinsi alivyotendwa so kama wewe ndo mtunzi si bure nawe umekojoleshwa na yule mbwiga mlomtungia wimbo wewe na Jide!Hivi unajua kuwa mimi ndo niliyemtungia lady jay dee yale mashairi wa ule wimbo wa ndi ndi ndii?