Makapuku Forum

Natambua hilo... Na wewe sio wangu tena, you are now mtumba,... aka used.. aka mabaki... aka masalia.. aka makombo ambayo for now ndo Linamo anayahusudu... Am now with mkaka mzuri... Mwanaume wa ukweli, anayeufanya moyo wangu kila time uende mbioooo... sumbai
 
Nilitulia tulii... Kaanza kinichokonoa kuwa nina kumbukumbu ya nini... Joto la sumbai tu ndo nalikumbuka shemeji yangu... Ya kwake kwa sasa ni skrepa... Nishayatupa jalalani kitambo Sana
Hivi ni wewe uliyekua unanishukuru hadi unalia baada ya mchezo?
Uliyeahid hutaniacha kwa shida na raha!
Uliyenisifia kila niletapo Assad na kupiga magoti kunishukuru!
Niliyekufanya ujione wa thamani na pekee duniani!
Uliyekuwa una.....???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…