Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi ni wewe uliyekua unanishukuru hadi unalia baada ya mchezo?
Uliyeahid hutaniacha kwa shida na raha!
Uliyenisifia kila niletapo Assad na kupiga magoti kunishukuru!
Niliyekufanya ujione wa thamani na pekee duniani!
Uliyekuwa una.....???[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji26] [emoji27]
Vumilia tu X... Hamna namna nyingine tena
 
Back
Top Bottom