Makapuku Forum

Naukumbuka my kaka
Nashukuru sana Alhamis nilikuwa kwenye send-off moja japo nilikuwa High kimtindo lakini nilipata fursa ya kuufuatilia wimbo ule kwa kina na niligundua una ujumbe mzuri mno...Kwa wale wanaoanza uchumba...So please take your time sikiliza wimbo ule utakufanya uzidi kumpenda Shemeji yangu jambilo
 
Unaimba sauti ya nane shemeji? Maana hiyo tune imetishaa
Hahahah Shemeji hivi ulishaona umekosea kitu na kabla hujachekwa na watu wewe mwenyewe unaanza kujicheka...Ndiyo imekuwa hivyo yaani sauti hamnaga kabisa...
 
Ni chaguo langu
Basi usikubali umchoke...Ukiona anaangalia angalia kushoto na kulia hakikisha hatoona image ingine yeyote isipokuwa wewe tu dada angu...Na huwa nakaa nasema asnate nyingi kwa Muumba kwa jinsi alivyotumia mda wake kukufinyanga na kukufanya mrembo sana dada angu...
 
Shem wacha niwe mkweli niwe mpenzi wa Mungu..sinaga sauti ya kuimba kabisa kila nikiimba naaishiaga kukooa kooa tu kama narekebisha sauti na haiji..Wimbo tu niliouimba na watu wakanisifia ni wimbo wa Taifa..Bhaaaas
Ha ha ha ha ha ha haaa... Asante kwa kuitengeneza siku yangu shemeji... Nimecheka kwa nguvu Sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…