Makapuku Forum

Sumbai nimepata wazo mkuu, sisi ni wanaume hebu tukae kwa akili na hawa vimwana. Hebu turudishe mshikamano wetu wa awali ili wasitugonganishe, baki na mkeo nami nibaki na linamo bhana
Ameen ameen ukitulia unakuwagavna akili saana dah....

Tuyamalize kuwa na huruma ya ndoa zetu changa kiroho safi tuu...
Kaa na linamo namimi na patience wangu tufanye maisha mkuuu
 
Jezi mpya ya Yanga baada ya kuingia mkataba na kampuni ya Italy itakayokuwa ikitengeza jezi ... hiyo ya njano ni ya ugenini itaanza kuvaliwa leo

Kwa leo hawajaweka nembo ya KILIMANJARO hadi wakirudi Dar
..........
 
Wow..... Nataman nipate jezi mapemaa timu ya wananchi timu dume team ya inayowakilisha taifa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…