Hongera sana dada na huwa nakuamini katika kufanya machagua sahihi nikuahidi kaka ako niko bega kwa bega na wewe lengo kubwa ni kukuona uko na furaha..Dada yako nimefall in love kwa Jambilo. Siambiwi wala sisikii nampenda Sana.
Asante kaka yanguHongera sana dada na huwa nakuamini katika kufanya machagua sahihi nikuahidi kaka ako niko bega kwa bega na wewe lengo kubwa ni kukuona uko na furaha..
IgweeeeeeeeHahahahahaha
Hii ni kweli kabisaa
Njuka wabishi sana
Hhahahaah ndiyo maana huwa nakumiss dada angu..Miss you too my kaka
Bora baridi kuliko joto hivyo we pigana mambo yatakuwa sawa kabisa
Pamoja mno kabisa dada angu..Asante kaka yangu
Marahaba sana hujambo leo?Shikamooni wakubwa!
Sijambo kabisa...nikuongeze tena shkamoo ya kwako binafsi!Marahaba sana hujambo leo?
Wahi twende my love
Dada yako nimefall in love kwa Jambilo. Siambiwi wala sisikii nampenda Sana.
Inapendeza saana.....Wahi twende my love
Hiyo moja inatosha tutagawana wakubwa wote na itatutosha kabisa maadamu uliiwekea Shikamoo-(ni) basi haina budi kugawanywa...Sijambo kabisa...nikuongeze tena shkamoo ya kwako binafsi!
Hahahahahah and then nathani ukaja pita na Mama Mtumish mazima ama hili hutaki kulizungumzia...Mkuu ni stori ndefu saana tulishindwa kuelewana kwenyekusiamia mapato ya Sadaka nlikuwa mkudanyaj mkuu...
PapaaaMambo bien
Hansard iwekwe vizuri, Sumbai alikuwa shemasi but nilimfukuza kwa uzinz na walevi mtaani, mama mtumishi yeye alikuwa na wivu sana na akiona binti anakuja kwa huduma anachukia, ndo maana tulitengana, note ..tulitengana ndo fisi Sumbai kaokotaHahahahahah and then nathani ukaja pita na Mama Mtumish mazima ama hili hutaki kulizungumzia...
Tisha mbayaaHaya ni mahaba ya mwendokasi Kama ya wolper na Hamornize
Nimekuelewa pasina shaka Baba Mtumish wacha tuone sumbai atasemaje juu ya haya...hahahaHansard iwekwe vizuri, Sumbai alikuwa shemasi but nilimfukuza kwa uzinz na walevi mtaani, mama mtumishi yeye alikuwa na wivu sana na akiona binti anakuja kwa huduma anachukia, ndo maana tulitengana, note ..tulitengana ndo fisi Sumbai kaokota