Niko poa sana, linamo amefanyika furaha yangu, patience kafanya maamuzi magumu hebu waone na sumbaiShemeji nashukuru Mungu kwa siku hii ya leo kwani nipo fit mbaya kabisa...Wewe vp lakin Shem?
Morning Shululumorning all
Dada yako Mimi mzima kabisaMungu yu mwema sana kwangu nimeamka na tabasamu sana leo...Wewe dada angu u hali gani?
Kaka yeke lulu....goodmorningLinamo,za asubuhi
Safi, za kupotea???Habarini za asubuhi watu wote upande huu..
Hahahahah habari njema sana hii Shemeji leo bismarck kwenye 12 :30 jioni ama?Niko poa sana, linamo amefanyika furaha yangu, patience kafanya maamuzi magumu hebu waone na sumbaiView attachment 357534
Mkuu bado hawapatan au unaendeleza tuu?? Haya mamboShule 4m 1 na 4m 4 huwa hawapatani kabisa ni sawa na wakongwe v makapuku .....hawapatani kwa jambo lolote na huwezi kuwapatanisha nakumbuka nikiwa 4m 1 ilikuwa ni bora tufungwe tukicheza mpira na 4m 2 au 3 lkn sio 4m 4 na pia mademu wa 4m 1 walikuwa makauzu kinoma kuwakubalia mabishoo wa 4m 4
.. .........
Nafurahi sana kwa ajili yako dada angu..Endelea kubarikiwa na Bwana...Dada yako Mimi mzima kabisa
Umeona tambi la sumbai?Hahahahah habari njema sana hii Shemeji leo bismarck kwenye 12 :30 jioni ama?
Shem tujoin wote?Hahahahah habari njema sana hii Shemeji leo bismarck kwenye 12 :30 jioni ama?
PoaHope wote mko powa, gud morning kapukuz
Hahahahaha........eti aimba kuachwa kuachwa....
Shukuru kwa huruma tuu....Wapi wewe, shukuru nimempata, ungekoma kwn tungekumbushia kila mara
Poa sana mkuu wangu tumerejea sasa kwa kasi ya kimbunga...Mambo yanaendaje lakini?Safi, za kupotea???
Sjawahi achwa nilitupa kuleeeHahahahaha....
Shukuru kwa huruma tuu....
Anyway kuwa makini sasa wasije kukubebea...usianze kujisahau
Nimeweka mfano tu.....anyway kila mtu ana uamuzi wake binafsiMkuu bado hawapatan au unaendeleza tuu?? Haya mambo
Mambo bienPoa sana mkuu wangu tumerejea sasa kwa kasi ya kimbunga...Mambo yanaendaje lakini?