Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
[emoji40]Ni ngumu kumhurumia mtu ambaye hajihurumii mwenyewe. Mara kwanza alisaidiwa na mhe. JK lakini bado anarudia yaleyale.
[emoji40]Ni ngumu kumhurumia mtu ambaye hajihurumii mwenyewe. Mara kwanza alisaidiwa na mhe. JK lakini bado anarudia yaleyale.
Sasa ungeandika vizuri!
Eti!!! Angekinunua ingekuwaje, angelipia VAT je?Mwambie huyo abanabana kitu amepewa buree!
Hahaa siogopiHuogopi dudu[emoji23] [emoji115]
Yuko poa sanaBraza Th Name hajambo?
Ntaachaje wakati unaniyima kitu uko nayo mamii?Yaani, halafu aachi
Nilishaigawa papaaNtaachaje wakati unaniyima kitu uko nayo mamii?
Mwandiko wangu mbaya eeh???Sasa ungeandika vizuri!
Acha Dunia imfunze kwanza.Halafu si alianza kampeni ya kuwasaidia wenzake? Akawa mzuri mpaka mama yake Akawa anawashukuru waliomsaidia mwanaye, Wanawake tunazaa jamani... Na hivi mtoto kwa mzazi hakui, namhurumia mama yake
Hapo Sasa!!!Eti!!! Angekinunua ingekuwaje, angelipia VAT je?
Mbaya sana, hausomekiMwandiko wangu mbaya eeh???
Nnayo ntakuletea [emoji12]Hahaa siogopi
Hahahaaa! DoohNnayo ntakuletea [emoji12]
Achaga loho mubaya mamii, mi nakuya kuibaliki mara moya tu[emoji121]Nilishaigawa papaa
[emoji106] [emoji106]Hongereni sana kuwa wa ukweli (OG).
Ukuye nikufundishe kusoma msharazo mamiiMbaya sana, hausomeki
[emoji12] [emoji106] [emoji106]Hahahaaa! Dooh
Hiyo mi L L, ilisha barikiwa.Achaga loho mubaya mamii, mi nakuya kuibaliki mara moya tu[emoji121]