Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
44799ffa385d0bd7a0e6c880b0525946.jpg
 
Ni ngumu kumhurumia mtu ambaye hajihurumii mwenyewe. Mara kwanza alisaidiwa na mhe. JK lakini bado anarudia yaleyale.
Halafu si alianza kampeni ya kuwasaidia wenzake? Akawa mzuri mpaka mama yake Akawa anawashukuru waliomsaidia mwanaye, Wanawake tunazaa jamani... Na hivi mtoto kwa mzazi hakui, namhurumia mama yake
 
Back
Top Bottom