Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jun 17, 2016 #54,221 Jimena said: Magazeti yanafuata sasa Click to expand... Leo mbona mapema???
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 17, 2016 #54,222 Bitoz said: Kachanganyikiwa(CHIZI), Sababu ya kula nganda Usishangae ht kitaani ksenu wapo ............ Click to expand... Duuh! Kwel kuacha ngada ni ngumu
Bitoz said: Kachanganyikiwa(CHIZI), Sababu ya kula nganda Usishangae ht kitaani ksenu wapo ............ Click to expand... Duuh! Kwel kuacha ngada ni ngumu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,223 Kwa leo naishia hapa wakuu Muwe na weekend njema #TGIF
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 17, 2016 #54,224 Linamo said: Unga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni. Click to expand... Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................
Linamo said: Unga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni. Click to expand... Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,225 jambilo said: Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jun 17, 2016 #54,226 Linamo said: Umesalimika? Click to expand... Niko na mayine moya hakunaga tena
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,227 Bitoz said: Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................ Click to expand... Ila dada naona anaelekea kuwa mwehu kabisa
Bitoz said: Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................ Click to expand... Ila dada naona anaelekea kuwa mwehu kabisa
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 17, 2016 #54,228 Linamo said: Unga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni. Click to expand... Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tu
Linamo said: Unga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni. Click to expand... Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tu
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,229 Bitoz said: Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................ Click to expand... Ni kweli lakini still sitawapenda wauza unga
Bitoz said: Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha Y.O.L.O ................ Click to expand... Ni kweli lakini still sitawapenda wauza unga
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,230 werrason said: Leo mbona mapema??? Click to expand... Nimeamka mapema ili nikamilishe mishe mapema kwasababu leo ni furahi day
werrason said: Leo mbona mapema??? Click to expand... Nimeamka mapema ili nikamilishe mishe mapema kwasababu leo ni furahi day
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 17, 2016 #54,231 werrason said: Niambie Mtumishi Click to expand... Malencontreusement tuu mkuu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,232 Linamo said: Kwani tumeanza lini kuwa couple?? Click to expand... Utambulisho muhimu cuzzo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 17, 2016 #54,233 jonax said: Duuh! Kwel kuacha ngada ni ngumu Click to expand... Atajiju Ujanja ukizidi ni ujinga Yachezee maisha yako ...upauke hadi matako Y.O.L.O ...........
jonax said: Duuh! Kwel kuacha ngada ni ngumu Click to expand... Atajiju Ujanja ukizidi ni ujinga Yachezee maisha yako ...upauke hadi matako Y.O.L.O ...........
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,234 jonax said: Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tu Click to expand... Kabisa mkuu. Najaribu kuimagine mama yake anajisikiaje? Hakika wazazi tunaumia Sana.
jonax said: Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tu Click to expand... Kabisa mkuu. Najaribu kuimagine mama yake anajisikiaje? Hakika wazazi tunaumia Sana.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,235 Linamo said: Nadhani mtambo wa TCRA nao ni feki maana simu bado zinapeta naipenda Tanzania yangu. Utasikia bunge lijalo wanajadili mtambo wa TCRA Click to expand... Ni shida kubwa
Linamo said: Nadhani mtambo wa TCRA nao ni feki maana simu bado zinapeta naipenda Tanzania yangu. Utasikia bunge lijalo wanajadili mtambo wa TCRA Click to expand... Ni shida kubwa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,236 Bitoz said: Kachanganyikiwa(CHIZI), Sababu ya kula nganda Usishangae ht kitaani ksenu wapo ............ Click to expand... Anatia huruma sana
Bitoz said: Kachanganyikiwa(CHIZI), Sababu ya kula nganda Usishangae ht kitaani ksenu wapo ............ Click to expand... Anatia huruma sana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 17, 2016 #54,237 Jimena said: Ila dada naona anaelekea kuwa mwehu kabisa Click to expand... Atajiju ..........
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,238 jambilo said: Dadake natambua uwepo wako Jimena Click to expand... Pamoja sana fake pastor
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,239 Jimena said: Utambulisho muhimu cuzzo Click to expand... Cuzoo na mimi nashangaa maana sielewi elewi hii couple imeanza lini Vipi anafaa kuwa shemeji yako??
Jimena said: Utambulisho muhimu cuzzo Click to expand... Cuzoo na mimi nashangaa maana sielewi elewi hii couple imeanza lini Vipi anafaa kuwa shemeji yako??
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 17, 2016 #54,240 Linamo said: Click to expand... Najua ng'ombe anayerusha mateke ana maziwa matamuu