Hadi ifike asubuhi watakuwa washamaliza vifaa vyote vyenye IMEI batili ..
Yaani hata kama una MODEM au simu ya magumashi na umeizima kwa bahati mbaya au makusudi, siku ukija kuiwasha tambua kuwa haitakuwa na uwezo wa kupata Mtandao.
Leo wanazima zile zilizowashwa tu.