Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,161 Bitoz said: Full Time ................ Click to expand... Sio mbaya sana lakini
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Jun 17, 2016 #54,162 Szczesny said: Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,163 Szczesny said: Watazima kidogo kidogo kila mkoa,,, Click to expand... Waanzie Dar
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 17, 2016 #54,164 shululu said: Usiku mwema Click to expand... Na kwako pia
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,165 MANDELAA KIWELU said: Zinazimwa moja moja, hivyo zote zitazimwa.. Tatizo TCRA wanajigamba bure, kumbe wanatumia mfumo wa kizee. Walitakiwa watumie mashine ya ku scan simu zote kwa wakati mmoja ingewarahisishia kazi. Click to expand... Mh so hili zoezi linaweza likaenda mpaka mda gan?
MANDELAA KIWELU said: Zinazimwa moja moja, hivyo zote zitazimwa.. Tatizo TCRA wanajigamba bure, kumbe wanatumia mfumo wa kizee. Walitakiwa watumie mashine ya ku scan simu zote kwa wakati mmoja ingewarahisishia kazi. Click to expand... Mh so hili zoezi linaweza likaenda mpaka mda gan?
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,166 MANDELAA KIWELU said: Nipo Arusha, mkuu broh wako yupo Arusha maeneo yapi? Click to expand... Sekei
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,167 youngblood said: Click to expand... Mkuu we umenusurika?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,509 Jun 17, 2016 #54,168 Jamani kapuku yoyote aliyezimiwa simu yupo!!?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Jun 17, 2016 #54,169 briz said: Mkuu we umenusurika? Click to expand... Mie ni raia mwema mkuu. Nasikia simu ya sumbai imezimwa
briz said: Mkuu we umenusurika? Click to expand... Mie ni raia mwema mkuu. Nasikia simu ya sumbai imezimwa
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,170 Jimena said: Waanzie Dar Click to expand... Duh wakianzia dar kesho patakua kimya sana humu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,172 youngblood said: Mie ni raia mwema mkuu. Nasikia simu ya sumbai imezimwa Click to expand... Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote
youngblood said: Mie ni raia mwema mkuu. Nasikia simu ya sumbai imezimwa Click to expand... Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Jun 17, 2016 #54,173 Jimena said: Click to expand... Pole
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Jun 17, 2016 #54,174 briz said: Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote Click to expand... Ngoja tusubiri youngblood said: Pole Click to expand...
briz said: Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote Click to expand... Ngoja tusubiri youngblood said: Pole Click to expand...
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,175 makaveli10 said: Jamani kapuku yoyote aliyezimiwa simu yupo!!? Click to expand... Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatua
makaveli10 said: Jamani kapuku yoyote aliyezimiwa simu yupo!!? Click to expand... Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatua
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,509 Jun 17, 2016 #54,176 briz said: Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatua Click to expand... Oky, sawa mkuu.
briz said: Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatua Click to expand... Oky, sawa mkuu.
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Jun 17, 2016 #54,177 briz said: Sekei Click to expand... ahaa powa, mi nipo Kimandolu Mkuu.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Jun 17, 2016 #54,178 Majirani wamekuja kunigongea hapa wananiuliza kama simu yangu ya touch imezimwa maana mtaa mzima mimi ndiyo mwenye smartphone pekee
Majirani wamekuja kunigongea hapa wananiuliza kama simu yangu ya touch imezimwa maana mtaa mzima mimi ndiyo mwenye smartphone pekee
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,179 MANDELAA KIWELU said: ahaa powa, mi nipo Kimandolu Mkuu. Click to expand... Poa mkuu, pamoja sana
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Jun 17, 2016 #54,180 briz said: Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote Click to expand... Hadi ifike asubuhi watakuwa washamaliza vifaa vyote vyenye IMEI batili .. Yaani hata kama una MODEM au simu ya magumashi na umeizima kwa bahati mbaya au makusudi, siku ukija kuiwasha tambua kuwa haitakuwa na uwezo wa kupata Mtandao. Leo wanazima zile zilizowashwa tu.
briz said: Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote Click to expand... Hadi ifike asubuhi watakuwa washamaliza vifaa vyote vyenye IMEI batili .. Yaani hata kama una MODEM au simu ya magumashi na umeizima kwa bahati mbaya au makusudi, siku ukija kuiwasha tambua kuwa haitakuwa na uwezo wa kupata Mtandao. Leo wanazima zile zilizowashwa tu.