Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kile kithread nilikuwa MMU sasa wametengeneza fitina ndo wamekileta huku chit chat kwa Citys Guys ili wapunguze speed ya Makapuku
Hata views ni za uongo tu
Mods noma sana





................................
Sasa hivi tutafanya hivi...... Mtu akiweka uzi sehemu unatuambia kisha wote tunahamia huko huko mpaka waone aibu kutufitini
 
Wakongwe wana mbinu za zamani sana.
Wanajaribu kujificha kwenye shamba la mchicha wasionekane.
881291805e6e9fd4e8a30c029550658c.jpg


...............................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom