Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Akipatikana atambulishwe hapa hapaaaaaNgoja nitafute First lady coz mshaanza uchokozi
.............................
Akipatikana atambulishwe hapa hapaaaaaNgoja nitafute First lady coz mshaanza uchokozi
.............................
Bajaji mambo aje ajeerDaaaah mkuu mdori tena wakati mimi ni jinsia ya kiume!!!!
Nimetembeza za kutosha mkuu.Heshima kwako pia, mkuu ukifika hapa unatembeza likes hiyo ndo salamu yetu kubwa
Kwani mkuu hujawahi kuona midoli ya kiume?Daaaah mkuu mdori tena wakati mimi ni jinsia ya kiume!!!!
Aaaah unyunyu wa makapuku hadi mletewe na wabeba boxSana pamba na unyunyu wa bei mbaya

Midoli ipo me na keDaaaah mkuu mdori tena wakati mimi ni jinsia ya kiume!!!!
Hahaha mshana tia neno hapo kiongozi
Du.......Tatizo chupiiii.....au k????![]()
![]()
![]()
![]()

Hahahaha sawa kapuku mkuuJina HALIBADILISHWI NG'O
Limebeba historia/ujumbe ndani take......Mod kitu gani mimi ndo KAPUKU mkuu
..........................
Acha kututishia Nyau kama una mtaja weweNgoja nikachungulie, kisha naenda kupandisha zetu zoooote za karibu![]()
![]()
![]()
Hapana iasee linginee hili litafanya pm yangu ijae watajua me ni keMkuu unalionaje?
Hahahaha kifaruAti... aitwe Bajaji
Hapana iasee linginee hili litafanya pm yangu ijae watajua me ni ke

Kifaru nitajiitaaau Toyo![]()
![]()
![]()
![]()
Au nijiite kidumeeLabda aitwe guta
Sema jina hili nalo watoto wazuri wote ataishia kuwaita shemeji
Acha majina ya ajabu,utakosa warembo.Kifaru nitajiitaa