Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Hawa watawafanya watoto wa watu wajikoboe kumbe ni 720mkuu swaumu kali
Hawa watawafanya watoto wa watu wajikoboe kumbe ni 720mkuu swaumu kali
Ndio mtu mzima ila anaakili za mvulana wa form two F ambaye yuko kwenye foolish age

Salama kabisa. Kesi gani tena??Mzima kabisa habari yako.
Halafu leo una kesi ya kujibu.

Kuna mvulana-huyu ni under 18 yrs. na bado ana mambo ya kitoto.Shem nisaidie hapo
Tunachangamsha akiliAcheni ligi isiyo na maana
MVULANA/BINTI ni mtu ambaye bado ni kijana na hajazaa sio ambaye hajafikisha miaka 18
Mfano :
*Unaenda kuoa binti wa miaka 20 coz bado "hajazaa/hajazeeka"
...........
Kigezo siyo umri mtu ambaye ni under 18 anaitwa mtoto na above 18 mtu nzima hayo majina mengine ni mbwembwe tu na yanabadilika kulingana na mazingiraMvulana ~~~mwanaume.
Msichana ~~~~mwanamke.
Binti~~~~~~~~msichana.
Mwanaume~~~~baba
Mwanamke ~~~~mama.
Nitofatishie hapo.
Asante ShemKuna mvulana-huyu ni under 18 yrs. na bado ana mambo ya kitoto.
Then Kijana, yeye ni kuanzia 18yrs mpaka forty something
From 18yrs kuna Wanaume, hawa ni wale wenye akili za kiutu uzima
Pia kwenye hili kundi la 18yrs. and above kuna wavulana
Leo katika pitapita zangu humu nimekutana na mtu anajiita Otorong'ong'o.Salama kabisa. Kesi gani tena??![]()
![]()
![]()

Soma post kabla ya hiiTunachamsha akili
Kwahiyo mwanamke wa 30 years anaejielewa na bado hajazaa ni msichana???????
Coz kijana mwisho 45 years kama sijakosea...
Milele aminaTumsifu Yesu Kristo

Unaweza maombi wewe?Mimi nafanyiaga watu kama Wewe maombi![]()
Unaweza maombi wewe?Mimi nafanyiaga watu kama Wewe maombi![]()
Hata siachiWaaaacha!!!
Hamna shida ya kujikoboa mimi hizi ndiyo type zangu.Hawa watawafanya watoto wa watu wajikoboe kumbe ni 720
Na lazima nikamtonyeShiiii... Ningejua singekuambia...![]()
![]()
HahahahaLeo katika pitapita zangu humu nimekutana na mtu anajiita Otorong'ong'o.
![]()
![]()
![]()
![]()
Balozi wa Mkaa. Black is beauty lakini hii hapanaHamna shida ya kujikoboa mimi hizi ndiyo type zangu.![]()
Hata awe na kontena lililojaa dola sisex naeHamna shida ya kujikoboa mimi hizi ndiyo type zangu.![]()
Mimi kwakweli mwanamke mweupe hapana.Balozi wa Mkaa. Black is beauty lakini hii hapana
