Manning Nice kisha yakaongezeka Dar Express ila mara nyingi nilikuwa naenda kuvizia Mombo bus zinazotoka Arusha/Moshi km nakuja Joto City 7bu sipendi kufika mchana au jioni
Halafu mademu wa Kisambaa wakali yaani weupe halafu wana mikia na sura laini ....Bitoz uvumilivu ulinishindaga huko na kile kibaridi
.........