Makapuku Forum

Ushawahi kula tembele la chooni??
 
Yupo mtu mwenye # zangu na tunajuana na ni mtu anayeheshimu PRIVACY japo yupo hapahapa
Tutaheshimiana
.........
Kweli mwingine haeshimu mawasiliano ya mwingine kitu ambacho siyo kizuri. Nami yupo mtu ana namba yangu na anaheshimu Sana mawasiliano yangu kwa kweli.
 
Kweli mwingine haeshimu mawasiliano ya mwingine kitu ambacho siyo kizuri. Nami yupo mtu ana namba yangu na anaheshimu Sana mawasiliano yangu kwa kweli.
Mfano mmegombana anakuanzishia thread na picha zako za WhatsApp atasambaza huku JF
FOOLISH
... .......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu labda atapeliwe mania mabibo beach mwendokasi hamna na mjini huwa haendi pekee yake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo sawa.
Ila inabidi unipe contacts zako mkuu ili hata ikitokea ukigongwa na Boda boda nijue mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…