Makapuku Forum


Usituzingue
Uswaz is the best
........

Uswazi balaa mkuu, maji taka yao yanatoboa mabomba ya chemba maana upate yaliyotoka Tandale ambayo ni mixer Spea za kuku kwa maana ya vichwa miguu na utumbo,dagaa maji chumvi...kama yakihifadhiwa vizuri tunaweza kujipatia gesi yetu mjini na kuvunja uhusiano na watu wa mtwara wanaotusimanga na gesi yao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…