Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ha ha ha haKupumzika kwema, niachie huyu Jimena mi nnammudu
Acha kulala mapema hivi
Basi karibu tenaNlienda congo baadaye nikarudi![]()
![]()
![]()
Hee! acha utani bana, niambie unataniaUsiku mwema wote
Atatuombea BitozMtuombee
Safiri salama na Mungu Akutangulie!Good morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
mmh!!! utanifanya niache kula mishkaki ww![]()
mimi sikai dar huko watu wanalishana had mishkaki ya mbwa
Yaani nilikwambia ukija kuangalia unitafute, ww umekuja na kuondoka hata salaamGood morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
Sijasahau kabisa ...July lazima nkutafute twende kuleYaani nilikwambia ukija kuangalia unitafute, ww umekuja na kuondoka hata salaam
Ameen Goodmorn chiefSafiri salama na Mungu Akutangulie!
Nenda church kwanza piga goti kisha baada ya hapo nenda hospt iliypkaribu muone daktari na pata vipimo...tumbo linanisumbua isee
youngblood mgeni wako HuyoGood morn on da way to tanga jaman wenyej naomben mnipokee nina kazi ya wiki tena safar hii
SeriousHee! acha utani bana, niambie unatania