Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi ningelala juu ya kabati.......kuiamini England ni sawa na kuamini Minazi inaweza kustawi kwenye barabara za mwendokasi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja kesho sasa
 
Mi pia jukwaa lile sijawahi kupata misuko suko sababu sijawahi kuwa upande wa fisiem
Aaah siku isifia ccm nili ikosoa chadema

Ila nikipata forum nzuri sionagi kazi kusifia ccm pale amabapo naona wame fanya kitu reasonable (japo ccm ni mara chache mnoo huwa reasonable)
 
fbe9cf6dac104d01f0d293656ecbb704.jpg
 
.................................
Asubuhi breki ya kwanza ni church
USIKU MWEMA
.........................................
Safi sana mkuu, mi hapa najua kabisa kesho siibuki church aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakusamehe kwan nmetambua hukujui mwanza

[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
Back
Top Bottom