Ngoja aje youngbloodChumbageni sehem gani mara nyingi nafikia raskazone kuna apapment pembeni na panory
Shikamoo.....Morning all
Ameen the boss....Punde tu tutapata wasaa wa kupitia kurasa za mbele za magazeti ya leo
Punde tu tutapata wasaa wa kupitia kurasa za mbele za magazeti ya leo
MornieMorning all
Mornie. Ufike salama.Good morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
Safari njema brother.Good morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
Morning Linamo.Morning all
Nimeamka salama kabisa Youngblood. Habari za Half London??Morning Linamo.
Natumai umeamka salama kabisa.
Salama Mkuu,habari ya jpili.Habari wapendw.
Huku kwema kabisa.Nimeamka salama kabisa Youngblood. Habari za Half London??
Hongereni sanaHuku kwema kabisa.
Baridi hadi raha...
saaaafi sana boss, niaaje....Salama Mkuu,habari ya jpili.