Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Mambo yako poa mkuu.saaaafi sana boss, niaaje....
Umeadimika sana
Mambo yako poa mkuu.saaaafi sana boss, niaaje....
mornie to uMorning all
kweli kaka, mishe mishe cunajua tna ukilala umelaliwa hahaha ha ha haMambo yako poa mkuu.
Umeadimika sana
Leo sitaenda.![]()
![]()
asante.
Kanisani tunaenda saa ngapi sasa.!
MorningMorning all
Huko kwenu kuna sukari??mornie to u
MorningMorning all
Umeamkaje mpendwa??Morning
Unatumia Fastjet?Good morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
Bado kimyaPunde tu tutapata wasaa wa kupitia kurasa za mbele za magazeti ya leo

Bon VoyageGood morning the family....
On the way to rock city from jotro city....
Tukumbukane katika Maombi....! Na sala
Tanga kubwa, sehemu gani?Good morn on da way to tanga jaman wenyej naomben mnipokee nina kazi ya wiki tena safar hii
Niko buheri wa afya bibieUmeamkaje mpendwa??
sukari ipo mbona dada.Huko kwenu kuna sukari??
uvivu huo tena.Leo sitaenda.
Bei elekezi ya serikali ni 2200sukari ipo mbona dada.
MorningMorning
sante lets nifanye hivyo nduguNenda church kwanza piga goti kisha baada ya hapo nenda hospt iliypkaribu muone daktari na pata vipimo...
Pole saana
Goodmorn
ni vp boss.Morning
Nyama ya punda je?mmh!!! utanifanya niache kula mishkaki ww