Ujumbe huu uwafikie wote waliopigia kura Fisiem..Wale wanaowaita mafisadi na kuwabana sana huku mtaani sisi tulikuwa tunawaita matajiri sababu kupitia pesa zile tulinufaika mno...Sasa ni miayo tu asubuh mpaka jioni..