Makapuku Forum

Makapuku Forum

JF imeanzishwa 2006
Tofauti ni kwamba New version imeboreshwa tofauti na ya zamani mfano matumizi ya Emoji
Kifupi umenielewa
...................
Yap....nmekuelewa but one more thing nimeskia zaman ilkua n ngumu kua member wa jf n kweli? If n sio kweli kwann saiv kumekua n classes kwamaana ya makapuku na wakongwe???
 
Zamani ilikuwa ngumu kujoin 7bu hapakuwa na smartphone wazee walikuwa wanatumia Computer tena zile za chogo km la Madenge

Classes hazikosekani kwenye jamii yoyote mfano kuna Landlords na Tennants......Hapa Jamii Forum kuna tabia ya wakongwe kujiona bora na kudharau members wapya kisa wao walitangulia kuwepo hata km hawana hoja/ubora utawasikia "mtu mwenyewe umejiunga juzi tu"
Kwa ufupi wakongwe wamejaa nyodo km maembe dodo
.........
 
Zamani ilikuwa ngumu kujoin 7bu jakukuwa na smartphone wazee walikuwa wanatumia Computer tena zile za chogo km la Madenge

Kwa ufupi wakongwe wamejaa nyodo

Thanks a lot nmeelewa mpaka basi
 
Hawajaangalia wingi wa sangara wala PEREGE....
Ipo hivi Wastani = Jumla/idadi sasa hapo ni INCOME/POPULATION (income psr population) ndio wamepata data
Haijalishi Mwanza mjini kuna maghorofa mangapi hapo inazungumziwa Mwanza nzima ht Dsm huku kwetu Uswaz mbona tupo walalahoi kibao hapo issue ni INCOME PER POPULATION......kwa ambao A level wamesoma ECONOMICS wanaelewa vizuri au Civics au Geography kwenye topic ya ECONOMIC DEVELOPMENT 4m 4 au Geography A level nao wanaelewa vizuri pia
Tofautisha siasa na uchumi
...................
 
Lazima tushangae coz ni jiji halafu kuna ziwa Victoria etc. etc.....Mh!!! bado siamini
d648072b47e28dad2eb56ef38f7cf0b9.jpg

Chukua mfano huu:
Tz ina rasilimali kuliko Kenya & Uganda lkn tumezidiwa kiuchumi
............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom