Sio kweliSawa lakini sometimes inabidi tuwe fair ukitaka mtu alike kwako wewe pia utoe like,we unasema kuna watu hawalike kwake that's why halike lakini ukiangalia hao watu ambao hajalike post zao wamelike posts zake!....
Tunajaribu kurekebishana kwasababu mwisho wa siku hapa hakuna aliye juu zaidi ya mwenziei *wote ni sawa.*
Okey......Usijali siku za wiki huwa naamka mapema sizidishi saa mbili
Au hata bank accountWekeni namba mpesa tumlipiee....
Sheria kandamizi....
Acha kabisa. Nadhani kwa sasa ndo unaongoza kwa kuwa na replies nyingiNipo, mihangaiko inaweka bize, uzi unakimbia si kitoto!!!
Nenda post # 3Eeh kumbe na mie ni kapuku afadhar kidogo niukimbie huu uzi
Tusizunguke kama watoto. Taja mtu anaelike kwangu kisha mi simpiSawa lakini sometimes inabidi tuwe fair ukitaka mtu alike kwako wewe pia utoe like,we unasema kuna watu hawalike kwake that's why halike lakini ukiangalia hao watu ambao hajalike post zao wamelike posts zake!....
Tunajaribu kurekebishana kwasababu mwisho wa siku hapa hakuna aliye juu zaidi ya mwenziei *wote ni sawa.*
Hahaha tupo pamojaMie mzma dadake, nafuatilia mpambano na shobo, vijembe za baadhi ya ndg zangu humu
Jichanganye sasaTyr nimeangalia mkuu ndo maana nkajua namie ni muhusika
Karibu kasome page ya 1 post ya 3Eeh kumbe na mie ni kapuku afadhar kidogo niukimbie huu uzi
Asante, miss you too.
Mapema sana yatakuwa mezaniOkey......
Maaana sikuhiz nimeacha kusimama kwenye meza za magazet
Kuwa FreeTyr nimeangalia mkuu ndo maana nkajua namie ni muhusika
Aaah nakusemea kwa kakaHahaha tupo pamoja
Aisee.Tusizunguke kama watoto. Taja mtu anaelike kwangu kisha mi simpi
Ili tumalize Mzizi wa fitina
Umejifunza nini ati!Ahsante wadau kwa kunikaribisa kwenye hii familia I real enjoy kuwa humu najifunza vitu vingi saana
Mpe salamu zanguAsante, miss you too.
yupo anafuatilia kimya kimya
Hahaha! Tupo pamoja kwa maana Nzuri.Aaah nakusemea kwa kaka
Zimefika my wii!Mpe salamu zangu