Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,256
Naona mambo sio mabaya kwenye avatarMungu ni mwema
Naona mambo sio mabaya kwenye avatarMungu ni mwema
jamaa ni mbunifu sanaAisee huyu jamaa ameniacha hoi kwakweli.
Huu ubunifu tungeutumia vizuri tungeweza kutengeneza hata toothpick.jamaa ni mbunifu sana
Karibu mkuuNaona mambo sio mabaya kwenye avatar
Ni kweli mkuu, matokeo yake tumekuwa watu wa ku-import bidhaaHuu ubunifu tungeutumia vizuri tungeweza kutengeneza hata toothpick.
Ndiyo hivyo mkuu,Tanzania raha sana.Ni kweli mkuu, matokeo yake tumekuwa watu wa ku-import bidhaa
hahaha najivunia kuwa MtanzaniaNdiyo hivyo mkuu,Tanzania raha sana.
Sawa kabisaAsante, uishi ck nyingiii
![]()
![]()
![]()
Labda anamfuata mwingine ila siyo mimi.
umekuwa ghost..!

Hahahaha,usiogope mkuu.umekuwa ghost..!
Hii avatar yako inanitisha![]()
![]()
![]()
Hahahaha,acha tamaa kijana.jambilo na hii avatar ya leo huyu pia ni binti yako?
Kwani wewe una undugu na bro mshana jr?Hahahaha,usiogope mkuu.
Mambo ya kawaida tu.
Ulipotelea wapi sasa?Ni kweli mkuu, matokeo yake tumekuwa watu wa ku-import bidhaa