Makapuku Forum

Makapuku Forum

Keshaanza kuharibu timu....miafrika ya Nini sijui...

Pale central back wakutosha tuu...

Smaling
Blind
Paddy macnar
Fotumensa
Phil john
Anyway amuuze phil john maaana hatutak mcheza ambae anaumia kila baada ya mech
Hahaha kuwa mpole wewe. Uone uwezo wa Bailly. Kama huyo Jones daily pancha. Blind sio natural Centre back.

Man utd tulikuwa tunahitaji beki ya kati bado kiungo namba sita

Sasa hivi naitwa Th Name a.k.a Bailly hahahah
 
Hahaha kumbe eeh.
46cf7efef6180d8d5b8fede6211e89b9.jpg
 
Keshaanza kuharibu timu....miafrika ya Nini sijui...

Pale central back wakutosha tuu...

Smaling
Blind
Paddy macnar
Fotumensa
Phil john
Anyway amuuze phil john maaana hatutak mcheza ambae anaumia kila baada ya mech
1ac6ce6b1089285e981dc9387cf932f3.jpg
Kocha ndo anapanga.....la msingi tuwe tunatoa vichapo tu bila kujali nani hachezi au kauzwa
Mi shida yangu makombe TU
........
 
Hahaha Tozy duuuh. Mimi siwezi kutumia a.k.a yangu humu. Ila nilitamani nitumie
Ninayo a.k.a niliyopewa chuo inajulikana hadi na ndugu zangu ndo maana nimechagua hiyo ya Bitoz coz haijulikani wao walikuwa wananitania tu "ww Bitoz au...ww Bishoo TU" kwahiyo hawawezi kunijua

Insta & FB natumia a.k.a ambayo nimepewa chuo na inajulikana
.......
 
Hahaha kuwa mpole wewe. Uone uwezo wa Bailly. Kama huyo Jones daily pancha. Blind sio natural Centre back.

Man utd tulikuwa tunahitaji beki ya kati bado kiungo namba sita

Sasa hivi naitwa Th Name a.k.a Bailly hahahah
Sasa namba siita ndio atacheza blind...
Kwani shneidering na bastain Si ndio namba zao hizo
 
Ninayo a.k.a niliyopewa chuo inajulikana hadi na ndugu zangu ndo maana nimechagua hiyo ya Bitoz coz haijulikani wao walikuwa wananitania tu "ww Bitoz au...ww Bishoo TU" kwahiyo hawawezi kunijua

Insta & FB natumia a.k.a ambayo nimepewa chuo na inajulikana
.......
Nimekusoma ndugu. Sometimes fake id zinatufanya tuwe huru.

Olevel nilikuwa na a.k.a nyingine ma advance nyingine ambayo nilitumia mpaka chuo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom