Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Sina cha kulaumu J4 hii mkuu imekuwa ni njema sana ikiwa na support ya magazeti hapa.Aaah
Kwa kweli niko vizuri, sijui wewe apo mkuu!!?
Sina cha kulaumu J4 hii mkuu imekuwa ni njema sana ikiwa na support ya magazeti hapa.Aaah
Kwa kweli niko vizuri, sijui wewe apo mkuu!!?
Itakuwa poa sana afande kulala polisi sio ishuTeh teh na ukija Central we uliza afande Maradona nitakuwepo pale na hutobuguziwa mkuu.
I love you sweetieThanks babe
Safi sasa mkuu, sumbai anahitaji kitabu wasiliana naye umsaidie hapoSina cha kulaumu J4 hii mkuu imekuwa ni njema sana ikiwa na support ya magazeti hapa.
Nzuri bhana , habari ya mda mrefuGoodmorning family![]()
Sintakubali ulale na mimi nipo wewe ni ndugu yangu bwana.Itakuwa poa sana afande kulala polisi sio ishu
Poa, mkuu nakuona unalisongesha kama ChairmanNzuri bhana , habari ya mda mrefu

Kitabu gani hicho mkuu niko na soft copy za kutosha aseme tu kama niko nacho nitampatia mkuu.Safi sasa mkuu, sumbai anahitaji kitabu wasiliana naye umsaidie hapo
Utashangaa linakuja kalandinga bureSintakubali ulale na mimi nipo wewe ni ndugu yangu bwana.
Teh teh teh kumbe aliekamatwa ni mkuu wa kikosi fulan.Utashangaa linakuja kalandinga bure
AaahPoa, mkuu nakuona unalisongesha kama Chairman![]()
We bishoo tu![]()
Nimematch saa na kinywaji hapo
.........
Hahahahah noma sanaTeh teh teh kumbe aliekamatwa ni mkuu wa kikosi fulan.
Lkn sivai "kata k" wala sichomelei mdomo(fegi)We bishoo tu