Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Wii miss youHabari ya mchana kakashemeji
Wii miss youHabari ya mchana kakashemeji
Niadje my wiiWazima wote?
Miss you my Wii. Kaka yangu hajambo??Niadje my wii
Mc yu moooMiss you my Wii. Kaka yangu hajambo??
ShemejiMc yu mooo
Kaka ako mzima sanaa
Msalimie mwambie nimemiss sanaMc yu mooo
Kaka ako mzima sanaa
ShemejiiiiShemeji
Hainaga mbaya mamaMsalimie mwambie nimemiss sana
Ni salama kabisa shemeji huku kwetu, Na ninyi huko?Shemejiiii
Jumatatu yako niadje??
OkkkkgsvbshshsBado niko nawasiliana na wadhamini ili kuona kama kuna uwezekano huo
Wazima kabisaa.....kwana mpotevuuuuWazima wote?
Nimepotea kidogo siyo Sana.Okkkkgsvbshshs
Wazima kabisaa.....kwana mpotevuuuu
Monogamist readerKwa wale wasomaji wa vitabu tazama aina ya wasomaji hapo chini na useme wewe uko kundi Gan kati ya hayo,Mimi nipo kwenye Polygamist reader.
View attachment 354068
Monogamist readerKwa wale wasomaji wa vitabu tazama aina ya wasomaji hapo chini na useme wewe uko kundi Gan kati ya hayo,Mimi nipo kwenye Polygamist reader.
View attachment 354068
Kwetu salamaNi salama kabisa shemeji huku kwetu, Na ninyi huko?
Safi sana mpaka sasa umeshasoma vitabu vingapi ukiachilia mbali hivyo vi2, Mimi napambana na The dark Arena cha Mario Puzo.Monogamist reader
My Favorite Book ni Think like a Man, Act like a Lady
Kuna titles nazikubali sana humo ndani
Napenda inspiring /motivation books na nilivyosoma niSafi sana mpaka sasa umeshasoma vitabu vingapi ukiachilia mbali hivyo vi2, Mimi napambana na The dark Arena cha Mario Puzo.
Safi sana mimi mwenyewe hapa naendeleza The Power of Positive Thinking cha Norman ni kizuri na nikiingia kwenye mgogoro wa namna yeyote na mwanamke huwa nakimbilia kitabu kimoja kinaitwa Men are from Mars, Women are from Venus cha John Gray nikikisoma hicho kitabu na nikirelate na kilichotokea kati yangu huyo Mama najikuta nacheka tu na kusamehe kabisa.Napenda inspiring /motivation books na nilivyosoma ni
-the purpose driven life:what on Earth Am I here for -Rick Warren
-rich dad, poor dad - Roberts kiyosaki
-Thinking, fast and slow - Daniel kahneman
-A power of positive thinking -
Hivyo ni kati ya Vitabu nnavyovikubali Sana kwa positive issues