Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Acha aje tu
Ameridhika kukaa benchi
Uende na kule "Maajabu ya khanga" nimeboresha picha
......
Acha aje tu
Ameridhika kukaa benchi
How to get from where you re to where you want to beNapenda inspiring /motivation books na nilivyosoma ni
-the purpose driven life:what on Earth Am I here for -Rick Warren
-rich dad, poor dad - Roberts kiyosaki
-Thinking, fast and slow - Daniel kahneman
-A power of positive thinking -
Hivyo ni kati ya Vitabu nnavyovikubali Sana kwa positive issues
Ni kizuri ila kinafaa Sana Kwa wanawakeHichi kitabu kilabsiku nakiona tuu....title inanitia uvivu kusoma...ila ngoja nkifuatilie kwa vile unakipenda
Yeah pia ni mesomaHow to get from where you re to where you want to be
Bring out the Magic in your mind - al koran
The Magic - Rhonda Byrne
Na my favorite ni The secret - Rhonda Byrne
Pia nimesoma viwili vitatu katika ulivyotaja
Cc Maradonna
HahaaaaYeah pia ni mesoma
Rais ana mpenda mke wangu
Machozi jasho na damu
Na hadithi nyingi za shigongo
Hi BROHi family, mko kimya leo
HahahaaHahaaaa
Raisi anamoenda mke wangu ni kizuri sanaaa

GoodHi BRO
Kazi niadje???
Pole na kazi na weweHi BRO
Kazi niadje???
Kasome post # 3mi naomba kuelewa zaid maana ya kapuku
Tupo kama hatupoHi family, mko kimya leo
Naanzaje kutoka sasa kwa mfano?Jimena uko wap leo!!?
Hadithi nimesoma nyingi sana ila hapo nilikuwa naongelea ni vitabu vya kawaida (sio hadithi)Yeah pia ni mesoma
Rais ana mpenda mke wangu
Machozi jasho na damu
Na hadithi nyingi za shigongo
Sasa jana mmejikumbusha mkamaliza na ya leo hahahaNaanzaje kutoka sasa kwa mfano?